Mashimo ya choo ya kisasa

Mashimo ya choo ya kisasa

Kicheche mkali

Senior Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
160
Reaction score
141
Habari....tuna offer kwa ajili ya mashimo ya choo yasiyo jaa! Natoa offer ya kununua mabomba na kujenga chemba zote...karibu boss MIKOA YA DSM, NA PWANI YOTE Shimo moja kwa laki 8 na mashimo mawili kwa 1.2 Million kwa Dsm Tu. MIKOANI Mikoani Shimo moja ni Million 1 na mashimo mawil ni million 1.4 gharama hii inajumuisha ufundi na material....Nauli kuja na kurudi tutajilipia wenyewe! 0789005562 au Gusa link hii kuja wasap Wa.me//2 55789005562
FB_IMG_1740103367217.jpg
FB_IMG_1740103350665.jpg
FB_IMG_1740103358007.jpg
 
Hivi hapo haliporomoka kama ardhi ya arusha inavotanuka na kusinyaa
 
Back
Top Bottom