BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Nlijua tu utaweka simu yako hapo, maana ilionekana tu ni tangazo,hebu jibu swali kuu kwanza.For more information you can call
+255716881915
+255718861096
+255692716888
+255758335116
eliezerj…@gmail.com
jcryanwat…@gmail.com
Ni kweli nami natumia kwa miaka 2 sasa na sijaona changamoto yoyote, mbali ya hao wadudu micro bacterials, kiuhalisia uchafu huwa unapelekwa kwenye shimo lilifunikwa kwa udongo mfano wa tuta kubwa la viazi, ndani mawe hujazwa na yanafunikwa na nylon sheet. Hivyo kwa lugha rahisi Yale majimaji taka hunyonywa na kupotelea ardhini maana shimo lile huwa halijengewi.Hivi ni kweli mashimo haya ya Biodigester hayajai milele.
Na suala la harufu kuwa hayarudishi ndani ni kweli au lugha za biashara tu.
Mwenye uzoefu ama ni fundi au anatumia kwake atuhabarishe.
sawa, ndio hadi milele ?Ni kweli nami natumia kwa miaka 2 sasa na sijaona changamoto yoyote, mbali ya hao wadudu micro bacterials, kiuhalisia uchafu huwa unapelekwa kwenye shimo lilifunikwa kwa udongo mfano wa tuta kubwa la viazi, ndani mawe hujazwa na yanafunikwa na nylon sheet. Hivyo kwa lugha rahisi Yale majimaji taka hunyonywa na kupotelea ardhini maana shimo lile huwa halijengewi.
Life span ya nyumba yako, yaani mpaka septic tank ibomoke.sawa, ndio hadi milele ?
nashukuru, ila inabidi maangalizo yawepo sababu kama sehemu ina asili ya chem chem sidhani kama hiyo teknolojia itakuwa rafiki kwa eneo hilo.Life span ya nyumba yako, yaani mpaka septic tank ibomoke.
I hope so, yaani choo hicho kinacheza na water table ya kilipo, ikipanda mpaka juu Ina maana na maji taka yako juu hayapotei mbali.nashukuru, ila inabidi maangalizo yawepo sababu kama sehemu ina asili ya chem chem sidhani kama hiyo teknolojia itakuwa rafiki kwa eneo hilo.
Mimi sio mfanya hivyoo mavitu mie nimekutafutia ufafanuzi wa hiyo kitu basi nikaona namba zao nikakupa uchoyoo mmbaya.Nlijua tu utaweka simu yako hapo, maana ilionekana tu ni tangazo,hebu jibu swali kuu kwanza
Hivi ni kweli mashimo haya ya Biodigester hayajai milele.
Na suala la harufu kuwa hayarudishi ndani ni kweli au lugha za biashara tu.
Mwenye uzoefu ama ni fundi au anatumia kwake atuhabarishe.
Sasa na sisi wenye magari ya kunyonya mavi tutakula wapi?For more information you can call
+255716881915
+255718861096
+255692716888
+255758335116
eliezerj…@gmail.com
jcryanwat…@gmail.com
Well [emoji1666]Hata mimi ninatumia huo mfumo na naelekea kumaliza mwaka toka nianze kutumia na kimsingi Hadi muda huu sijaona changamoto yoyote!
Kuna kuwa na mashimo mawili ambapo shimo Moja ni kwaajili ya Maji taka Yale ya kuogea na yanayotoka jikoni ambayo yanakuwa na chemicals za Sabuni za kuogea na kuoshea vyombo. Haya Maji Huwa yanaelekezwa kwenye shimo kubwa kidogo lililojazwa mawe na kufukiwa.
Na shimo la pili hili Huwa limejengwa Kwa zege na linafunikwa na ndiyo linalowekwa hao bacteria ambao husaidia kula kinyesi. Na shimo hili Huwa halitakiw kuelekezwa na Maji ya bafuni na jikoni kwasababu ya Maji yake ambayo yana chemicals ambao wanaweza kuua wale bacteria.
Hao wadudu wanawapandikizaje humo au wanatokea wenyewe?Ni kweli nami natumia kwa miaka 2 sasa na sijaona changamoto yoyote, mbali ya hao wadudu micro bacterials, kiuhalisia uchafu huwa unapelekwa kwenye shimo lilifunikwa kwa udongo mfano wa tuta kubwa la viazi, ndani mawe hujazwa na yanafunikwa na nylon sheet. Hivyo kwa lugha rahisi Yale majimaji taka hunyonywa na kupotelea ardhini maana shimo lile huwa halijengewi.