Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watu wanasema zitatokea vurugu katika Chaguzi za 2024 na 2025 ndani ya CCM. Watu wanasema Rais Samia akipata nomination 2025, hawezi kupata 2030.
Wengine wanabisha kwamba Rais Samia atapata nomination ya 2025. Katika Chaguzi tayari mashindano makali yameanza ya kuwania nafasi mbalimbali. Wagombea wengine wanataka kushinda kwa kutumia mabavu. Mzee John Cheyo eti anasema wanataka kushinda kwa kutumia fedha.
Ukiwaona wale watu wanataka kushinda kwa kutumia nguvu, rahisi kuwabaini, na rahisi mara moja kuwaeleza wajirekebishe lakini, alas, hao watu, they are not amenable to instruction.
It remains to be seen kama uongozi wa Mama utafanikiwa kuwathibiti hawa watu wasishikane mashati, kwa sababu tayari wanasema kwamba wanataka kushikana mashati.