Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

Huu ni ujinga wa ajabu yaani michezo kama huo mnashindania laki 4,2 1 kwanini msifanye kazi zingine yaani mtu anatoka mbeya kuja dododma kushindania laki nne au Kuna vitu vya ziada.


Hiyo pesa hata ikibaki hazidi laki.


Ongezeni pesa acheni michezo
 
Huu ni ujinga wa ajabu yaani michezo kama huo mnashindania laki 4,2 1 kwanini msifanye kazi zingine yaani mtu anatoka mbeya kuja dododma kushindania laki nne au Kuna vitu vya ziada.


Hiyo pesa hata ikibaki hazidi laki.


Ongezeni pesa acheni michezo
Mdhamini kajitolea tu, hafaidiki na chochote .
 
Draft la mama! Kazi kwelikweli
 
Kundi A

Simba Dom
Dogo Yasini
Digidigi
Rich bolleny
Gwisu

Kundi B

Nduli
Hemedi Gaidi
King Ramso
Kizunga Mbele
Cannavaro

Kundi C

Noel
Dogo Paul
Aradini
Chigundu
Serengeti

Kundi D

Kiwembe
Monster
Anaconda
Chilendu
Obadiah

Kundi E

Dogo shuku
Mayai
Messi
Mobimba
Lissu

Kundi F

Saiya
Nungwi
Athuman
Kimoja
Rama

Kundi G

Dogo Ally
Iwobi
Msomali
Lubuva
Paster

Kundi H

Dogo Sisco
Kotinyo
Kinyunyu
Katarunya
Kibona
 
Inafanyikis Dodoma Sehemu Gani?
 
Cr7 kakimbia?
 
Itaonyeshwa kwenye tv?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…