Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

Iwobi namjua atachukuwa ubingwa
 
Nawaonaga na kucheza nao kwenye draft la online. Na sijawahi kuwafunga. Wamemeza pattern. Itakuwa ni kivumbi na jasho.
 
Mbona mzee MUOGO simuoni hapo??🤣🤣
 
Mbona lwiva sikupangwa wananiogopa hao ...sijawai kufungwa draft hata siku moja kama mnabisha semeni nitoe ushahidi ambao wote mtaukabali kuwa ni kweli 😁😁😁😁
 
Nusu fainali ,

Sisco 2 Noel moja.

Anasubiri mshindi kati ya simba wa dom vs iwobi .
 
Sisco, Shukuru au Noeli mkuu na wote ni wakali wa Manyanya
Shukuru ametolewa tangu jana na mzanzibari anaitwa Nungwi.

Nungwi naye katolewa na Iwobi.

Iwobi anathema nusu fainali na Simba wa dom.

Sisco alicheza na noeli game imeisha 2-1
Sisco ameshinda , anasubiri wa kucheza naye fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…