Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

Imeshatinga Fainali, Sisco kamlaza Noeli
Hahaha leo lazima nipite manyanya nikaangalie vijana wakipikwa college pale. Watu wa Arusha niliwah kuwaambia humu humu ukitaka tukujue kama wewe ni fundi njoo manyanya ndio kuna cheo cha draft Tanzania yakawa mabishi. Nakumbuka sisco alikuwaga bingwa wa temeke ila alivyokuja kinondoni manyanya alikuwa anagalagazwa vibaya mno kajifua saivi Ronaldo hataki hata kumsikia, kama noeli kachezea nani wakumzuia dogo na fainali wameingia wote wa manyanya college.
 
Cr7 ni wa moto. Kwa walioingia nusu fainali, Iwobi na Simba Dom huwa anawatembezea sana kichapo.
 
Zawadi ndogo sana. Kwa nini wasipate wadhamini wakubwa Kwanza?. Kama kampuni za bia, cocacola na wengine. Hata wakiwaface Azam wasingeshindwa kuwadhamini. Mashindi wa Kwanza walau angeanzia milioni 5.
 
Anafungwa sana na sisco hadi huwa hataki kucheza nae mkuu mimi anakaa kinondoni na pale huwa napita nikitoka job...Hapo bingwa anaweza kuwa sisco
Anafungwa kweli na Sisqo. Na yeye anajisifu kwenye ligi kubwa ya Chunya alimfunga. Na hao waliokuwa kwenye ligi Dom wa kumsumbua Ronaldo ni Noel na Sisqo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…