26 Life JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 828 Reaction score 1,233 Jun 26, 2025 #101 Lwiva said: Wapi hiyo nije iuwafundisha kucheza chukumchuku😁 Click to expand... Mkuu unauliza wapi wakati umesoma uzi wote 😂
Lwiva said: Wapi hiyo nije iuwafundisha kucheza chukumchuku😁 Click to expand... Mkuu unauliza wapi wakati umesoma uzi wote 😂
toughlendon_1 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 6,965 Reaction score 12,556 Jun 27, 2025 #102 Hance Mtanashati said: View attachment 3383599 Nungwi. Huyu ndiye mzanzibari aliyemtoa dogo Shuku Click to expand... Alafu dogo shuku juz juzi tu kampuga sisco 4-1 ila sisco kwenye hela anakaza sana kete.
Hance Mtanashati said: View attachment 3383599 Nungwi. Huyu ndiye mzanzibari aliyemtoa dogo Shuku Click to expand... Alafu dogo shuku juz juzi tu kampuga sisco 4-1 ila sisco kwenye hela anakaza sana kete.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Jun 27, 2025 Thread starter #103 toughlendon_1 said: Alafu dogo shuku juz juzi tu kampuga sisco 4-1 ila sisco kwenye hela anakaza sana kete. Click to expand... Walirudiana akalipa kisasi.
toughlendon_1 said: Alafu dogo shuku juz juzi tu kampuga sisco 4-1 ila sisco kwenye hela anakaza sana kete. Click to expand... Walirudiana akalipa kisasi.