Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lile shindano mbumbumbu walianzia robo wakaishia robo?
Mbona mashindano yaliyojizolea umaarufu Afica yajulikanayo kama AFL hayatangazwi mpaka sasa? Inamaana baada yakumuonesha mwaka jana msimu huu wamefuta ?
Tatizo kuanzia robo ama kuishia robo!?Ndio lile shindano mbumbumbu walianzia robo wakaishia robo?
Hii siyo kweli.AFL ni bonanza la timu 8 tu.
Motsepe alilitengeneza ili apige hela za wadhamini, shida Wadhamini waliotegemewa wameligomea sababu bonanza hilo lina mizengwe mingi na halina ushindani. Timu zinashiriki kwa kualikwa kama harusi vile
Hii siyo kweli.
Wazo kama hili lilikuwepo pia Ulaya. FIFA na CAF wakataka kuzitumia Afrika kama uwanja wa jaribio hillo la mfumo huo Mpya uliokataliwa Ulaya.
Maana UEFA iliyakataa mashindano kama haya yaliyokuwa yamepewa jina la "Europe Super League" ambayo kilongola wake ilikuwa ni timu ya real Madrid.
Siyo lazima kila kitu wakijue Mzee Sunday Manara ama Jakaya Kikwete peke yao.
Na wenyewe walisema walikuwa wanafanya Kwa majaribio.Kama sio kweli... mbona shindano halipo tena ?