Mashindano ya draft Mbeya kutoa muwakilishi

Mashindano ya draft Mbeya kutoa muwakilishi

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo

1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano

2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo

3. Aina ya michezo itakayo chezwa

  • kwenye makundi itakuwa miwili mmoja wa nyumbani mmoja wa ugenini
  • kuanzia hatua ya robo mpaka fainali itapigwa oj14
5. Ligi haitakuwa na kiingilio imedhaminiwa na Eng kitova
4. Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo
  • mshindi 1 -50000/=
  • mshindi 2 -30000/=
  • mshindi 3 - 20000/=
5. Uamtaratibu wakwenda kwenye mashindano utakuwa kama ifuatavyo
  • mshindi wa kwanza atagharamiwa na kamati ya mashindano
  • mshindi wa pili atagharamiwa kila kitu na mdhami wa mbeya Eng kitova. +255 652 572 142

Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe

- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba

- mbalizi
1. Gabby
2. Dany
3. ............
- Sokomatola
1. Pascal
2. Kelvin
3. Steve nkeka
4. Amasebo
5. Ticha ngao
6. Iddy

- kabwe & songwe
1. Farid
2. Wille mtafiti
3. Amigo
4. Mlangi
5. Fadhiri
6. Peter salu
Kama kuna mchezaji mzuri tumemuacha na anahitaji kukiwasha tuwasiliane
 
Back
Top Bottom