Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,149 Reaction score 2,232 Jun 3, 2011 #1 Mashindano ya riadha kanda ya tano Africa yako live ITV sasa hivi uwanja kwa kweli ni mzuri picha inapendeza sana ila watanzania bado tunajikongoja hakuna aliyefanya wonders ingawa tuko home games ziko dominated na waethiopia wakenya na waganda
Mashindano ya riadha kanda ya tano Africa yako live ITV sasa hivi uwanja kwa kweli ni mzuri picha inapendeza sana ila watanzania bado tunajikongoja hakuna aliyefanya wonders ingawa tuko home games ziko dominated na waethiopia wakenya na waganda
Salanga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 364 Reaction score 44 Jun 4, 2011 #2 Sidhani kama unachosema ni kweli,,,,angalia google leo ,,,Tanzanian news