Exaud, unisamehe! Kwa bahati mbaya ninaishi ng'ambo, kwa hiyo sina habari za Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Tunatarajia watashiriki wachezaji wanne kutoka Uholanzi, watano kutoka Kazakistani, wawili kutoka Ujerumani na wengi kutoka Italia. Lakini wote bado ni wanafunzi. Wengine wamejifunza kwa msaada wa tovuti: www.swahili.it/bao.