'Mashindano ya Kitaifa' ya Kuchapana Makofi yashika Kasi-Moscow

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Michezo inazidi kubuniwa, tumezoea mashindano ya ngumi, watu wanatwangana, kwa usimamizi wa refa. Katika mcho huu ambao Tayari 'umeisharasimishwa' huko Russia. Ni kuchapana makofi kwa zamu...!!! Pale unaposalimu amri kuwa huwezi kuendelea na mchezo ndiyo unakuwa umeaga mpambano. Mchezo huu unafanywa na wachezaji waliohakikiwa afya zao na madaktari weledi ndipo unaruhusiwa kuingia mashindanoni. Mshindi anaitwa 'King of Slapper'. Mashindano haya yanafanyika kwa mtindo wa mtoano. Nisikuchoshe..jisomee na kujionea mwenyewe juu ya mchezo huu kwenye links hapo chini.



Red cheeks, swollen eyes and bruised faces: Watch Russian men in slapping contest (VIDEO, PHOTOS)
 
Nimecheka sana baada ya kuangalia clip.
Dah!
 
Nimecheka sana baada ya kuangalia clip.
Dah!
Yaani mwanzo sikuamini nilichokiona...kwenye Clip! Yaani nimerudia kuiangalia kama mara 7 hivi. Baadaye nikaona niwashirikishe team JF.
 
Mashabiki wa Uingereza watakaoenda kushangilia world cup huko Russia wajiandae kwa mashindano hayo
 
Nimeona Fursa, Niombeeni majibu ya Dr yasiwe na zuio lolote katika maamuzi ninayoenda kufanya.

Master of Slapper.
 
Ulaya bwana kufa njaa ni uzembe wako tuu.. Kuna michezo kedekede mengine ya kipuuzi tuu mradi uvumilivu, huitaji hata kipaji[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…