Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu 2024

Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu 2024

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,856
Reaction score
1,793
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi.

Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini.


Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 8-5-2024.

Kwa maswali, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoainishwa hapo juu.
IMG-20240410-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom