Emmanuel Robinson JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,856 Reaction score 1,793 Apr 10, 2024 #1 Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi. Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini. https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 8-5-2024. Kwa maswali, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoainishwa hapo juu.
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi. Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini. https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 8-5-2024. Kwa maswali, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoainishwa hapo juu.
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Apr 10, 2024 #2 Kwa wale waliosoma sayansi tu au.....