Mashindano ya klabu bingwa Afrika 1974 ambayo Simba ilishiriki

Nyuzi za historia ya miaka 47 zimekuwa nyingi sana tangu Yanga ifuzu nusu fainali CAFCC
 
Nyuzi za historia ya miaka 47 zimekuwa nyingi sana tangu Yanga ifuzu nusu fainali CAFCC
Ni kwa sababu kuna vile vinjiti viwili vinadai kuwa hii ni mara ya kwanza kitu ambacho si sahihi.
Lazima kumbu kumbu iwekwe sawa ili kupinga upotoshaji na kampeni za kishamba.
Cha muhimu tupambane champions league

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nyuzi za historia ya miaka 47 zimekuwa nyingi sana tangu Yanga ifuzu nusu fainali CAFCC
Mbumbumbu fc sindano imeingia barabara.
Tulipokua tuna waambia Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika 1969 na 1970 walikua wakisema izo rekodi za Zamani.
Leo nusu fainali 1974 inaonekana ni kama Jana.
Mbumbumbu fc wanakimbizwa mchakamchaka bila kupenda.
 
Mabumunda ya mo leo mtakufa mkiwa mmesimama. Maana sio kwa kuteseka huko...! Kipigo Yanga anakitoa kwa timu zingine,lakini maumivu makali mnayapata nyie mikia. Poleni sana. Mnatia huruma.
 
Nyuzi za historia ya miaka 47 zimekuwa nyingi sana tangu Yanga ifuzu nusu fainali CAFCC
Tunajaribu tu kuweka kumbukumbu sawa ili upotoshaji usiendelee.

Hata Yanga imeshinda ubingwa wa ligi Tz zaidi ya Mara 28,tangu miaka ya 60 ikiitwaligi daraja la kwanza , Sasa tufute historia tuanzie juzi ilipoanza kuitwa ligi kuu?

Ushabiki wa kitoto!
 
Utoto mwingi utopolo mnao.

Historia huwa haifutwi kirahisi hivyo.
 
Mabumunda ya mo leo mtakufa mkiwa mmesimama. Maana sio kwa kuteseka huko...! Kipigo Yanga anakitoa kwa timu zingine,lakini maumivu makali mnayapata nyie mikia. Poleni sana. Mnatia huruma.
Tunawaweka sawa watu wasio na maarifa. Tunajua Hakuna uto mwenye akili yakilishwa matango pori yanabugia km mazombi.

Lazima tuweke sawa. Kuwaonyesha hamna kitu kwa kichwa. Mazuzu.
 
Mm nimweka kile kilichoko kwa page za CAF.

Leta zako.

Ndiyo utuambie mmeweka rekodi eti kwa Mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…