Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Natania tuu mkuu!acha wivu
Huogopi mkuu?Haya madude nayaonaga kama mashoga. Sijui kwa nini?
Nani atulize wenge dogo? mbona unapenda kuvimba wakati huna uwezo?
Kweli siku hizi watoto wadogo wanajikuta sana.
hahahahahahhh mimi ndiye dingi yake.Isije kuwa unabishana na dingi yako
Sii unajua hizi fake ID mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],ushachelewaMungu akiwezesha nitashiriki kwa sasa npo nairobi, nine kumkimbiza huo kai mchumba tu
Kwani mkuu kimekuuma?kwani na wewe ni shoga?
hapana uliposema hivyo nikajua labda na wewe ni basha mwenzaoKwani mkuu kimekuuma?
wapi imeandikwa laki 8??Kiingilio laki 8?
Si bora nichukue chumba tu hapo hyatt kuliko kuna watunisha misuli!
hapana aisee,mimi napiga tu nondo ila sio body builderVipi Mzee Pablo Blanco na wewe unashiriki nini?
Ha Ha Ha huyo jamaa hiyo picha aliyovaa nguo yake ya mazoezi nyeupe inachekesha sana