Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Julai 29, 2023 ameshuhudia Mashindano ya Michezo na Sanaa za mapigano yajulikanayo kama ‘BONGO FIGHTING CHAMPIONSHIP'
Katika salamu zake Mhe. Chana ameeleza nia ya serikali kukuza diplomasia kupitia Michezo.
Mashindano hayo yameandaliwa na Chama cha Wushu Tanzania na
SUPERDOME yaliyohusisha michezo ya Muay Thai, Sanda (Kickboxing) na Masumbwi kwa lengo la kuibua na kukuza vipaji vya michezo hiyo ambapo mabondia mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wameshiriki.View attachment 2702904View attachment 2702905View attachment 2702906View attachment 2702908View attachment 2702907View attachment 2702909View attachment 2702910View attachment 2702911