Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Duh!utoto gani follow instructions picha utaziona mwishoni don't doubt
Ngoja nikuache tu sababu unaona kama tunataniana.
Hii thread ungekuwa umeileta ukiwa serious, nina imani mshindi wa 1,2 na tatu wangeneemeka.
 
Don't let the moods ban this thread things change hata FB nowadays inatumiwa hadi na wazee
 
Ngoja nikuache tu sababu unaona kama tunataniana.
Hii thread ungekuwa umeileta ukiwa serious, nina imani mshindi wa 1,2 na tatu wangeneemeka.
Niko serious watapata zawadi ambazo zimekuwa mentioned
 
Nilichogundua wavulana wanawahofia sana wasichana wenye midomo mirefu humu kwa hiyo wanaufyata kila wakutanapo kwenye mijadala.Vidada vya sasa hivi vina maneno machafu sana na makali
 
Tumieni hata avatar zao si ndiyo huwa zinawazuzueni humu
Hapana! Mleta mada alitakiwa kuwasiliana na wahusika kabla ya kuleta bandiko hili ili apate picha zao halisi ili tupige kura na baada ya wiki or mwezi tupige mahesabu tujue nani mshindi ili apewe zawadi zake.

Usiidharau jamiiforums mshindi wa kwanza anaibuka na mshiko wa maana
 
Nilichogundua wavulana wanawahofia sana wasichana wenye midomo mirefu humu kwa hiyo wanaufyata kila wakutanapo kwenye mijadala.Vidada vya sasa hivi vina maneno machafu sana na makali
Mwanamke anafungwa mdomo na neno moja la mwanaume.

Mnakwama wapi nyie?
 
Ahsante mammie mi mgeni JF hata mods nilikuwa siwajui I like to learn angekuwa mwingine angechukia..
mbona kuna joanah wawili kuna mmoja ana avatar ya mdada yuko serious kidogo kura yangu iende kwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…