zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
-
- #141
She's just being so romantic hataki kusema kura ya kikuryaUshaanza kufeli. Kula tena.
Okay.She's just being so romantic hataki kusema kura ya kikurya
Haina kuferiUshaanza kufeli. Kula tena.
Duh.......................Wengi hapo ukizisoma comments between the lines ni machangudoa yaliyokubuhu.
Kwa maneno nyengine ni manungayembe!!!
Bi faiza fox mbona simwoni kwenye list
WANAWAKE WA JF UKIWASIFIA WANAKUONA SHAKIRA!Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali.
The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS..
THIS IS SEASON 1..
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura mrembo/miss unayemkubali kisha kamati itakaa na kuja na mrejesho.
Mwisho wa siku waremb/miss wetu watapewa zawadi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kama vile free vouchers,M-Pesa balance recharge na nyingine nyingi....
List Yetu Ina washiriki 15..
Ila unaruhusiwa kuongeza idadi ya washiriki na Ku suggest iweje..
Joanah
Depal
Chakorii
Lenie
Numbisa
CreditAnalyst
Miss Renee
lliedie
financial services
cariha
Joannah
moneytalk
Culture Me
yna2
Khantwe
FaizaFoxy
Kasie
Money Penny
Carleen
cute eyes
Saint Anne
Madame S
miss chagga
Nifah
Jane Lowassa
Karucee
Shunie
Hapa najua mtaomba picha Ila baada ya matokeo ya jumla kutoka mtaona picha za washiriki wote.
Piga kura kwa mshiriki wako na akayepata kura nyingi ataibuka mshindi.
Kura zinapigwa kwa kutag jina la mshiriki tags nyingi zaidi ndio zitaonesha mshindi.
Pia unaweza comment kwanini umempigia kura mshiriki husika
Indeedmda mwingine maisha yanahitaji relaxation mkuu, hizi ndo relaxation ambazo huondoa stress
Haa sijawahi ona comment ya kibabe/yakuonyesha umri umeendaMtani mie kwa umri wangu huu huko kwenye umiss simo kabisa Mtani. í ½í¸
Wewe si upo CCM au , watakupa kura hao hao. Au nitumie picha inbox nikuoneNaomben kula zenu kwa wingi
Kula*Kura [emoji848]Naomben kula zenu kwa wingi
Mimi.naomba zawadi yangu nikaifanyie mambo ya maana 😉Mshindi nani sasa
Hahahaha, we ndio umeibuka mlibwende?Mimi.naomba zawadi yangu nikaifanyie mambo ya maana [emoji6]
Ndio rafiki yangu😆😆naomba zawadi yangu nikale dinner mimi
Hahahaha, hongera Sana Rafiki ,zawadi subiri kdgNdio rafiki yangu[emoji38][emoji38]naomba zawadi yangu nikale dinner mimi
haya nasubiria zawadi yangu rafiki