Mashindano ya Miss Tanzania yangefutwa yawe replaced na mashindano ya idea za kukuza uchumi.. ujasiriamali na viwanda

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

nawaza tu kwa maoni yangu haya mashindano yangefutwa tu. yana bajeti kubwa sana huku impact yake kwenye jamii ni ndogo sana..

nimeona miss morogoro mshindi wa mkoa tu kapata ist mpya. ambayo thamani yake milion 12.. nawaza tu vijana na wazee wa mkoa wa morogoro wangeshindanishwa idea za uchumi na mshindi angepewa huo mtaji milion 12.. impact yake ingekuwa kubwa. maana angeajiri watu pia. na ndoto ya tanzania ya viwanda ingetimia zaidi..

haya mashindano ya umiss sio mabaya.. ila kwa nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania yangepumzishwa kwanza.. tukomae kwenye kujenga uchumi..

viwanda vina umuhimu sana na ajira kuliko kuwekeza hela nyingi kwa urembo zama hizi.. tunahitaji ajira za kueleweka kukuza uchumi na viwanda vya kueleweka... wazamini ujumbe kwenu huu

haya ni maoni yangu tu
 
mbona hakuna uhusiano.kwani uwepo wa umiss kunazuiaje mashindano ya idea za kiuchumi.Hapo hakuna wadau wa ku support iyo issue
 
Naunga mkono hoja, kwanza hayo mashindano ya u-miss yanahamasisha ngono zembe na umalaya. which leads to spread of HIV/AIDS.. which leads to more burden to the govt to provide them with ARV's... which leads... which leads.. POVERTY.
 
Na baa zote zifungwe.Ili watu wajikite katika uchumi wa viwanda.
 
Tangu waanze hao ma miss zaidi ya aibu sioni role model kwa kweli
Wazo zuri ipo siku litakuwa kweli
 
mkuu wew anzisha hayo mashindano ya idea za kiuchumi but mm kwa mtazamo wangu japo sivutiwi na mashindano ya umiss but ya umuhimu
 
Ni sehemu ya maisha bana, acha watu wale burudani we unafikilia kila wakati utawaza uchumi, ndio maana kina Barak Obama unawaona leo hii wapo serengeti kula bata!!!
 
Yaani unamaanisha tuanze kuwapangia watu namna ya kutumia fedha zao, walizozipata kwa jasho lao? Halafu unamaanisha nini kusema "mashindano ya idea ya kukuza uchumi" ili hali miss Tanzania yenyewe ni moja kati ya idea za kuchochea kukuza uchumi?
 
habari wadau..

nawaza tu kwa maoni yangu haya mashindano angefutwa tu. yana bajeti kubwa sana huku impact kwenye jamii ni ndogo sana..

nimeona miss morogoro mshindi wa mkoa tu kapata ist mpya. ambayo thamani yake milion 12.. nawaza tu vijana na wazee wa mkoa wa morogoro wangeshindanishwa idea za uchumi na mshindi angepewa huo mtaji milion 12.. impact yake ingekuwa kubwa. maana angeajiri watu pia. na ndoto ya tanzania ya viwanda ingetimia zaidi..

haya mashindano ya umiss sio mabaya.. ila kwa nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania yangepumzishwa kwanza.. tukomae kwenye kujenga uchumi..

viwanda vina umuhimu sana na ajira kuliko kuwekeza hela nyingi kwa urembo zama hizi.. tunahitaji ajira za kueleweka kukuza uchumi na viwanda vya kueleweka... wazamini ujumbe kwenu huu

haya ni maoni yangu tu
Wazo zuri sana
Ila kutokana na baadhi ya watu kunufaika (inawezekana kimapato au kingono) ngumu sana kueleweka na kusitishwa. Hata mm binafsi huwa sioni la maana zaidi ya kuwadhalilisha wanawake. Sad[emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
habari wadau..

nawaza tu kwa maoni yangu haya mashindano angefutwa tu. yana bajeti kubwa sana huku impact kwenye jamii ni ndogo sana..

nimeona miss morogoro mshindi wa mkoa tu kapata ist mpya. ambayo thamani yake milion 12.. nawaza tu vijana na wazee wa mkoa wa morogoro wangeshindanishwa idea za uchumi na mshindi angepewa huo mtaji milion 12.. impact yake ingekuwa kubwa. maana angeajiri watu pia. na ndoto ya tanzania ya viwanda ingetimia zaidi..

haya mashindano ya umiss sio mabaya.. ila kwa nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania yangepumzishwa kwanza.. tukomae kwenye kujenga uchumi..

viwanda vina umuhimu sana na ajira kuliko kuwekeza hela nyingi kwa urembo zama hizi.. tunahitaji ajira za kueleweka kukuza uchumi na viwanda vya kueleweka... wazamini ujumbe kwenu huu

haya ni maoni yangu tu
kwa hio unashauri na miss world ifutwe pia?

hii nchi ina watu wa ajabu ajabu sana. ndio nyie mkibahatika kushika madaraka tunaonekan kituko dunia nzima.

unaonaje ukishauri kuwa mashindano yawepo ila hicho unachokishauri kianzishwe pembeni pia
 
unajiuliza swali halafu unajijibu mwenyewe.. wapi nimesema miss world.. mimi nimeongelea tanzania tu nikaeleza sababu nchi kama nchi tuna matatizo mengi sana,, urembo haipaswi kuwa kipaumbele na hayo ni maoni yangu tu..

hukuona hii sentesi kwenye thread yangu hiyo

"haya mashindano ya umiss sio mabaya.. ila kwa nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania yangepumzishwa kwanza.. tukomae kwenye kujenga uchumi.."

kwa hio unashauri na miss world ifutwe pia?

hii nchi ina watu wa ajabu ajabu sana. ndio nyie mkibahatika kushika madaraka tunaonekan kituko dunia nzima.

unaonaje ukishauri kuwa mashindano yawepo ila hicho unachokishauri kianzishwe pembeni pia
 
Reginald Mengi hua anafanya hayo mashindano hujayasikia chief?
 
anafanya kila mkoa.. na anatoa zawadi kwa wangapi.. nimetoa mfano morogoro wameshindanishwa na mtu kapata ist ya milion 12... je hizo milion 12 ni mkoa mmoja tu mshindi.. nawaza tu washindi wa kila mkoa wapate mtaji kama huo kila mwaka.. kila mtu akawekeze kwenye idea yake.. kwa mwaka una wajasiriamali zaidi ya 30 wenye mtaji hawawezi feli wote wapo watakaotoboa.. kila mwaka kwa miaka mitano mbeleni.. ajira ngapi mpya zitakuwa zimetengenezwa..

mengi anatoa zawadi kwa watu wachache sana na mfumo wake hauko clear sabab ni yeye mwenyewe anaamua nani ashinde.. sio mfumo kama ambavyo umiss unavyoendeshwa
 
Kwa bahati mbaya mashindano hayaandaliwi na kudhaminiwa na serikali bali taasisi binafsi na kwa idhini ya BASATA. Kama wale COSTECH au wizara ya vijana wangekuwa serious hili jambo la uwepo wa hayo yanhekuwa makubwa. Watu kama mengi wa IPP mbona anafanyaga na mwaka huu lilikuwepo washindi wawili kila mmoja $20000. Unakumbuka Tigo Digital Change Maker (social entrepreneur) nilishiliki mwaja jana na nilibahatika kuingia 15 bora. Sema ni kwamba hivi havipewi kipaumbele kama hayo ya mamiss ila mashindano ya hivyo yapo.
 
anafanya kila mkoa.. na anatoa zawadi kwa wangapi.. nimetoa mfano morogoro wameshindanishwa na mtu kapata ist ya milion 12... je hizo milion 12 ni mkoa mmoja tu mshindi.. nawaza tu washindi wa kila mkoa wapate mtaji kama huo kila mwaka.. kila mtu akawekeze kwenye idea yake.. kwa mwaka una wajasiriamali zaidi ya 30 wenye mtaji hawawezi feli wote wapo watakaotoboa.. kila mwaka kwa miaka mitano mbeleni.. ajira ngapi mpya zitakuwa zimetengenezwa..

mengi anatoa zawadi kwa watu wachache sana na mfumo wake hauko clear sabab ni yeye mwenyewe anaamua nani ashinde.. sio mfumo kama ambavyo umiss unavyoendeshwa
Hafanyi kila mkoa ila kila anayejiona anaweza anaruhusiwa kushiriki.

Anaamua yeye kwasababu shindano ni lake miss Tz pia haijulikani vigezo ni vipi haswa tofauti na unavyotuaminisha (refer ushindi wa Siti Mtemvu)
 
Back
Top Bottom