habari wadau..
nawaza tu kwa maoni yangu haya mashindano yangefutwa tu. yana bajeti kubwa sana huku impact yake kwenye jamii ni ndogo sana..
nimeona miss morogoro mshindi wa mkoa tu kapata ist mpya. ambayo thamani yake milion 12.. nawaza tu vijana na wazee wa mkoa wa morogoro wangeshindanishwa idea za uchumi na mshindi angepewa huo mtaji milion 12.. impact yake ingekuwa kubwa. maana angeajiri watu pia. na ndoto ya tanzania ya viwanda ingetimia zaidi..
haya mashindano ya umiss sio mabaya.. ila kwa nchi yenye matatizo mengi kama Tanzania yangepumzishwa kwanza.. tukomae kwenye kujenga uchumi..
viwanda vina umuhimu sana na ajira kuliko kuwekeza hela nyingi kwa urembo zama hizi.. tunahitaji ajira za kueleweka kukuza uchumi na viwanda vya kueleweka... wazamini ujumbe kwenu huu
haya ni maoni yangu tu