Jitu limekaa sijui likawa limeangalia movie ya 'little miss sunshine'... likicheki kushoto linaona akina madam Paulsen wanayeya na bongo star search... papo hapo likaona oooh, ngoja tuje na shindano la watoto kushindanisha "urembo"... tumwalike mbunge mmoja hapo na mambo yote yatakuwa mswano... absurd.