JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 661
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, yatakuwa ni mashindano ya mtu atakayekuwa wa kwanza kuwatakia wana jf heri ya mwaka mpya 01/01/2023 saa 00:00 dk 0 sec 0 jinsi ya kushiriki nikukutana uwanjani (jukwaani) tarehe husika mnaombwa kutokeza kwa wingi.