daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
- Thread starter
-
- #301
Eh yule mfaransa ameliaaMita 100 huddle
Masai Russell - Gold
Huyu atakuwa na asili ya East Africa
Kenya wametuwakilisha vzr waafrika.Mita 800 wanaume
Wanyonyi from Kenya wins Gold
Amejitahid kueka historia kuahinda mara tatu mfululizo kwny olympic. Mtangazaji ndo amesema hvoo1500m wanawake KIPYEGON - -Kenya
Ameweka recordKuna mkenya kashinda gold m 1500, mtangazaj anasema hii ni historia
Historia as kashinda mara 3 mfululizo olympic mbio hizo za 1500MKuna mkenya kashinda gold m 1500, mtangazaj anasema hii ni historia
Kuna mkenya kashinda gold m 1500, mtangazaj anasema hii ni historia
Yes wanawake wawili kwenye marathonKesho kuna wabongo wanashiriki?
Atakuwa na umri wa 30+Historia as kashinda mara 3 mfululizo olympic mbio hizo za 1500M
Hakuna Cha east mtangazaji kaenda mazima kuwa ni kenyaMita 100 huddle
Masai Russell - Gold
Huyu atakuwa na asili ya East Africa
Hakuna Cha east mtangazaji kaenda mazima kuwa ni kenyaMita 100 huddle
Masai Russell - Gold
Huyu atakuwa na asili ya East Africa
Ana 30 kamili kazaliwa 10/01/1994Atakuwa na umri wa 30+
Uyo mnorway ni mtaalamuNorway wameshinda hpa mbio m 5000 loh olympic hii wazungu wanafanya tu maajabu
Kwa niniAibu kubwa sana kwa tanzania
Kenya ni kubwa sana kimataifa tena kubwa mno sijasikia Hilo jina "east afrika"πππ[emoji3][emoji3] wabongo bwana eti east..