Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Hivi wasanii wetu wanaangalia hii performance inayofanywa bila kuongea kelele zisizo hitajika, jamaa kwenye olympic wanaimba sijasikia wakiongea hata kidogo.
 
Hivi wasanii wetu wanaangalia hii performance inayofanywa bila kuongea kelele zisizo hitajika, jamaa kwenye olympic wanaimba sijasikia wakiongea hata kidogo.
Hakuna piga keleleeee, mikono juuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, kushoto, kulia
 
Paralympic sherehe za Ufunguzi.. karibuni tuweni pamoja na katika hii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…