Mashindano ya Olyimpic na Aibu kuu kwa nchi, na kitu gani tufanye.

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Mashindano ya Olyimpic yanaanza kutimua vumbi huko Tokyo Japani.

Kila nchi iko kule ili kujitangaza na kuonyesha Ubabe, Mashindano ya Olyimpic pia ni kipimo cha Ukubwa wa nchi kiuchumi fuatilia hili utajua ukweli.

Mashindano ya Olyimpic ni sehemu ya mataifa kuonyesha uwezo wao wa o.

Tanzani tumewakilishwa na wana riadha watatu pekee, hii ni aibu na weekenes kubwa sana, ni Aibu si kwa Raisi pekee bali hata sisi Raia.

Majirani zetu wana wakilishwa na wanariadha zaidi ya 100,

Nchi yenye Raia Milion 60 Inapeleka Wanariadha watatu pekee Olyimpic, hii ni aibu Kuu.

Wakenya wanatucheka sana kwa hili na wako sahihi kwa asilimia 100.

Tuna Kwama wapi jamani wandugu?

Michezo kutopewa kipa umbele na Serikali.
Serikali inakomaa kila siku kukuza utalii lakini wana dharau sana michezo, hawana time na michezi wanaona sio kitu na wala sio lolote lile.

Wazazi kujidanganya kwamba kusoma ndo maisha yalipo, huu ni upotoshaji sana na wazai wa aina hii ni wa kupuuzwa sana.

Mashule kuchukulia masomo hasa mitihani kama mashindano ya Biashara na kuto kutoa nafasi kwa michezo mashuleni.

Wanamichezo nao walisha kata tamaa kabisa mara baada ya kuona hakuna anaye wasapoti, wamebakia yatima.

Nini tufanye?

Serikali inapaswa kuamuka sasa kuhusu michezo, Serikali inapaswa kuchukulua swala la michezi kwa uzito sawa na inavyo chukulia swala la Miradi mingine.

Michezo ni kielelezo cha super power ya nchi, sasa kwa nini tuwe dhaifu kiasi hiki?

Tuanzishe tozo maalumu kwa ajili ya michezo, kitafutwe chanzo kama kwenye utalii tupate pesa au mfuko maalumu kwa ajili ya kukuza michezo, tuachane na hizi aibu za kujitakia.Pesa zikipatikana ziende noja kwa moja kukuza vipaji.

Swala la Michezo lipewe kipa umbele cha ziada kabisa, shule za sasa wako bise na Tuition watoto wana shindiliwa Tuituon tu na Home work badala ya michezo, na wazai wanaunga mkono hili, michezo inapaswa kuwa kama tuituob kwa mashuleni.

Michezo iwe ni moja ya Taasisi ya kupunguza tatizo la ajira, Kama ilivyo viwanda vinaajiri basi Michezo iwe ni moja ya sekita ya kupunguza tatizola ajira nchi hii.

Serikali ijenge hata Mji wa michezo au kijiji cha michezo, kupitia mfuko maalumu zipatikane pesa za kuendesha hizo kijiji cha michezo kwa ajili ya kukuza vipaji, hapo Vijana watakuzwa kulingana na Vipaji vyao, nchi nyingi wana fanta hivyo.

Wazazi tuelemishwe, tuheshimu vipaji vya watoto, tuache kukomalia watoto wasome tuition masaa 24.

Watoto wapewe muda wa kuonyesha vipaji vyao na waheshimiwe sana, tuawasaidie watoto wetu kukuza vipaji vyao.

Walimu pia waache kuzania elumu ni Home work na Tuituon pekee, Michezo pia ni elimu tena kwa Dunia ya sasa ina faa sana.

Michezo itangazwe kama sekita ya kupambana na mapinduzi ya Techinolojia, Kwa sababah kwa sasa kazi nyingi zinafanywa na computer basi michezo iwe sehemu ya kutatua hio changamoto, Jack Mal aliwahi sema kwamba hadi mwaka 2030 nafasi milion 800 zitakuwa zimechukuliwa na mashine au Roboti, na katika hizo, muchezo haimo yaani haiwezi chukuliwa na roboti.

Hii itatusaidia kupunguza hizi aibu za Tokyo Japani,

Naambatanisha Screen Short hapa.
Screenshot_20210724_211050_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20210723_095821_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20210724_220502.jpg
 
Naambatanisha Screen Short hapa.View attachment 1866755View attachment 1866757View attachment 1866763
Mkuu MURUSI ,inaumiza sana kwa kweli. Hii Tanzania inabidi ifanyiwe mabadiliko makubwa sana ya "mfumo" wa nchi.
 
Bongo kila kitu connection,kama watoto wa wakubwa wangekua na vipaji tungepeleka hata washiriki 2000,ila kwa vile watoto wao mboga 8 basi hao viongozi hawana hata habari,kila kiongozi ni mzalendo wa familia yake tu na si taifa kiujumla
 
Viongozi walisafiri wengi kuliko Wanariadha, tuliambulia nafasi ya 7kwa Alphonce Felix Simbu, Gabriel Geay alishindwa njiani.

Tatizo Bado lipo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania - TOC inayoongozwa na Ghulam, Tandau na Filbert Bayi, wote ni kichefuchefu.
 
Hao wadau wamehodhi TOC kama masaburi yao toka tu watoto mzee bayi ni katibu hakuna damu changa za kuleta mabadiliko
 
Filbert Bayi,bado anahitaji kukaa hapo hadi uchaguzi ujao 2024, ila kuna wadau watakula Nae sahani Moja Hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom