Motowntzjpm
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 134
- 203
Nilitaka kushangaa ukose kuangaliaππππBlaza hauko pekeyako kete zilipigwa balaa.
πππ Haiwez tokeaNilitaka kushangaa ukose kuangaliaππππ
Na kama ingetokea basi ungekua umezingua kinomaπππππππ Haiwez tokea
Oooh Hakika , hujambo lkn miss wetuNa kama ingetokea basi ungekua umezingua kinomaππππ
Daaaah!!!! Nilikuwa live na nilienjoy sana fainali Ujerumani walikuwa tayari wamesha shinda fainali tatu za huko miaka ya nyuma na hata game ilivyoanza walikuwa wanajiamini sana mpaka score board ikawa inasoma 2-2 baada ya hapo kilichofuata ni msiba wafilpino wale walifanya comeback ya hataree mpka score board ikabadilika ujerumani2-ufilpino9 wafilpino wakaja kujichanganya wajerumani wakarudi mchezoni na ubao kusomeka 7-9 wajerumani wakiwa na munkari ya kuchukua game mkononi mtu akala kete afu akjificha na kushindwa kuitafutia kiwango kilichofuata hapo ni mchezo wa fitna tu wafilpino nao wakaificha kete wajerumani walivyokuja kuitafuta wakacheza kete ambayo haikuwa mchezoni na wafilpino kupata advantage ya kuweka kete nyeupe popote watakapo hii iliperekea mechi kuisha 9-11Usiku wa Kuamkia leo kulikuwa na Mashindano ya Pool World Cup. Watanzania wangapi tulijuwa hayo. Mashindano yalifanyika Spain. Fainali Philipines dhidi ya Ujerumani. wafilipino waliibuka washindi 11-7.
Nimeuliza wangapi walifahamu na lilikuwa live DSTV channel 225.
Tusibiri tuone Kitenge Sports wakitujuza.
Kwa Taifa linalojitutumua na kupenda michezo ni dhahiri tunapenda Simba na Yanga tu
Hayo mengine hatuna habari nazo. Sasa nauliza millioni 61 lakini hatumo kwenye hockey, volleyball, riadha, basketball, table lawn tennis hata Pool jamani ambacho kila bar ina pool table
ulionaeeeBlaza hauko pekeyako kete zilipigwa balaa.