Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Nakupongeza sana Elia Clement kwa kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati kwa wachezaji wenye umri wa miaka 18 na 20 yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Machi 10, 2023 jijini Dar es Salaam.
Pia nawapongeza wanariadha wengine walioiwezesha Tanzania kupata medali za fedha na Shaba katika mashindano hayo
Kazi Iendelee!
Pia nawapongeza wanariadha wengine walioiwezesha Tanzania kupata medali za fedha na Shaba katika mashindano hayo
Kazi Iendelee!