Mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Nakupongeza sana Elia Clement kwa kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati kwa wachezaji wenye umri wa miaka 18 na 20 yaliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Machi 10, 2023 jijini Dar es Salaam.

Pia nawapongeza wanariadha wengine walioiwezesha Tanzania kupata medali za fedha na Shaba katika mashindano hayo

Kazi Iendelee!
 
Nenda jukwaa la michezo huku sisi tunajadili ishu muhimu

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…