Mashindano Ya UMITASHUMITA

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wakuu Habari Ya Malaro,
Hivi kwa mtazamo wenu,
1. Kwanini tunafanya UMITASHUMTA?
2. Hawa washindi wa mashindano haya huwa wanakwenda wpi?
3. Hii michezo faida yake ni nini haswa ikishafungwa? Au tunakutana tena mwakani kufanya mingine?!
4. Mfano, mazao ya michezo hii kwa miaka saba mpaka sasa yako wapi?
4. Je tunafanya kwa kukamilisha ratiba au kwa lengo?!

Asanteni
 
Faida za michezo ni nyingi.
Kuibua vipaji
Kuunganisha jamii
Kuondoa matabaka
Kutoa elimu
Michezo ni ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…