Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Kule kwenye Jukwaa la Siasa kulikuwa na mashindano ya urembo wa wabunge wetu wa viti maalum. Thread ikafungwa kabla hajapatikana mshindi, lakini mimi moyo wangu ukawa umemdondokea huyu!! Hivi ndivyo alivyo au ni make up ndo zinawasaidia hawa watu wetu? Kadada ni karembo lakini! Ingawa kulikuwa na habari nyingi kwamba mara sijui kamekwapua vitu gani hotelini huko Arusha? Mara Ubelgiji sijui kamekwapua mkufu? Hivi ilikuwa kweli au raia walikuwa wanamzushia huyu mremb wangu wa mwezi?