Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na watu toka Marekani na UlayaAkili ndogo n akili ndogo tuu
Nimeona niwaze nje ya boksiNaunga mkono hoja
kwanini akili ndogo,mbona makocha tunachukuwa au ulitaka tukachukue China na Dubai. Ukweli utabaki kuwa ukweli wa western hawajui habari ya kuhongwa.Akili ndogo n akili ndogo tuu
Kuna muda inabidi ukweli usemwe, Mzungu ni Mzungu tu, hanaga longolongokwanini akili ndogo,mbona makocha tunachukuwa au ulitaka tukachukue China na Dubai. Ukweli utabaki kuwa ukweli wa western hawajui habari ya kuhongwa.
Na wananchi pia tuwachukue kutoka nje tuwalete kwetukwanini akili ndogo,mbona makocha tunachukuwa au ulitaka tukachukue China na Dubai. Ukweli utabaki kuwa ukweli wa western hawajui habari ya kuhongwa.
YAAN HAKUNA HAJA YA KUCHOMAMAFTA MPAKA MOROCO TUNAKUTANA NANUSHETANIIli kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation cup)should use European referees especially from England, Italy, Germany .
Inasikitisha sanaYAAN HAKUNA HAJA YA KUCHOMAMAFTA MPAKA MOROCO TUNAKUTANA NANUSHETANI
Duh!Its high level of stupidity to relay on europeans for each and everything. Its nonsense
Duh!Na wananchi pia tuwachukue kutoka nje tuwalete kwetu
Unamaanisha akina Michael oliver sioIli kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation cup)should use European referees especially from England, Italy, Germany .
kwamba wao hawapokei Hongo?Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation cup)should use European referees especially from England, Italy, Germany .
Please stop unnecessary exaggerations. What do you mean by "each and everything" when he has only spoken on the issue of the referees?Its high level of stupidity to relay on europeans for each and everything. Its nonsense
Kweli wewe ni akilindogo kabisaIli kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani.
In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation cup)should use European referees especially from England, Italy, Germany .