INAUZWA Mashine (incubator) ya kutotoleshea vifaranga inauzwa

INAUZWA Mashine (incubator) ya kutotoleshea vifaranga inauzwa

latentspace

Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
19
Reaction score
40
uwezo : mayai 1056

uendeshaji: inageuza mayai yenyewe(Automatic)

umeme: inatumia umeme kidogo Sana kwa kuwa inatumia coil heater ambazo huzimwa automatically muda fulani

sensors: temperature na humidity sensors ndizo inazotumia

accuracy: kama mayai yamerutubishwa vyema na jogoo inauwezo wa kutotoa kwa asilimia 98

Hali yake: iko safi haina tatizo lolote (ni kutenda na kuanza kuitumia)

Bei: 2,200,000(millioni mbili na laki mbili tu).

Ipo wapi?: Iringa Mjini.

mawasiliano: 0624762418

IMG_20201012_201903.jpg
IMG_20201012_202009.jpg
IMG_20201012_201938.jpg
 
Back
Top Bottom