Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

Alfa0001

Member
Joined
Sep 30, 2023
Posts
11
Reaction score
12
Habari wakuu,

Ningependa kujua machine ipi ni nzuri kwa matumizi ya stationery, Canon au Xerox

Pia nahitaji kiasi gani kupata machine yenye ubora, ya wastani, yaani isiwe chini sana wala isiwe ya gharama sana
 
Canon ni nzuri kamanda
Na bei kama Canon kwa sasa mpya inaenda mpaka million mbili na ushehe

Xerox mafundi na spea zake Changamoto hapa tz
 
Naomba kujuzwa hizi ndogo zenye scan copy and printer je zinatufaa sisi wadogo kimtaji na kibiashara?
 
Habari wakuu,

Ningependa kujua machine ipi ni nzuri kwa matumizi ya stationery, Canon au Xerox

Pia nahitaji kiasi gani kupata machine yenye ubora, ya wastani, yaani isiwe chini sana wala isiwe ya gharama sana
Canon ni mzuri sana,ukitaka niambie.
 
unahitajinkwa matumizi ya color au black and white? kwa black and white chukua canon ir, ina mafundi wa kutosha na wino bei rahis pia spare zipo, xerox ni kwa matumiz ya color ila inahitaji matunzo sana, wino ghali, mafundi adimu, spare adimu
 
OK, asante sana

Kuna haja yakuwa na printer pembeni kama epson au kwa sehemu kubwa yenyewe inakidhi mahitaji
 
Kama una uhakika wa kupata kazi za kutosha ongeza EPSON L850 itakusaidia unapopata changamoto kwenye canon
Mfano, Canon 2224 (new) ambayo kwa gharama ni 1.5m, itafaa kwa kukizi uhitaji wa matumizi ya ofisi au order za mashuleni?
 
Back
Top Bottom