Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Ndio mkuu spea zinapatikana. Ni ngumu kusema kwa kila aina inakamua kiasi gani kwa sababu si aina zote zimeelezwa kiwango chake. Hivyo kiwango kwa aina nyingine ni mtumiaji husika wa mashine atajua baada ya kuitumia mashine. Angalia picha hapa chiniSafi sana mkuu.
Je spare zake zinapatikana
Ina uwezzo wa kukamua kiasi gani kwa kila aina ya mbegu husika
Asante sana mkuu number yako nimeiserve nitakutafuta kabla hazijaishaNdio mkuu spea zinapatikana. Ni ngumu kusema kwa kila aina inakamua kiasi gani kwa sababu si aina zote zimeelezwa kiwango chake. Hivyo kiwango kwa aina nyingine ni mtumiaji husika wa mashine atajua baada ya kuitumia mashine. Angalia picha hapa chiniView attachment 1389653
.
Bei tsh 1,399,000. Material ni stainless steel haishiki kutu. Inachujio inachuja pia. Inakamua aina 24 za mafuta kama nazi, karanga, ufuta, mahindi, alizeti nk. Umeme 1.5KW. Voltage 220V. Duka lipo DSM kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu 0715316614View attachment 1389644
.