Mashine na biashara za betting zinauzwaje?

Mashine na biashara za betting zinauzwaje?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kujua yafuatayo juu ya mashine na biashara za kubetisha mpira.

1. Mashine zinauzwaje.
2. Zinapatikanaje/wapi?
3. Mtaji wake kiasi gani?
4. Risk zake ni zipi?
5. Faida yake inapatikanaje?
Nk
 
Muhimu upate leseni,Chumba kiwe na uhakika wa Umemw then unaenda kwenye kampuni kama PrimieBet,,PMBET wanakuja kukagua eneo wakiona linafaa wanakupa mashine uanze kazi

Faida itatokana na idadi ya watu wataobet mfano kwa kila ataepoteza 500 bas utagawana na kampuni asilimia kadhaa 20%

Risk zake ni kufungiwa mda wowote,Kuvamiwa,Kupigwa,Kutukanwa,Kupoteza Heshima ktk Jamii

USHAURI:
Amna kazi ngumu kama kufanya kazi na watu wenye AROSTO wakamaria wengi wanaAROSTo kwaio ngumi mkononi,Kesi hazitoisha watakuvizia wakuibie/Kukuua kabisa yote kwa yote kama una NJIA NJIA iko wazi
 
Mkuu hii mbona imenitisha kama ni hivi? Sasa nashtakiwa kwà lipi tena
 
Mkuu hii mbona imenitisha kama ni hivi? Sasa nashtakiwa kwà lipi tena
Usiogope hizo risk ni kukutisha tu wewe fanya kazi Kama una mtaji na uko kihalali sheria zipo kukulinda na uhalifu na wahalifu
 
Naomba kujua mtaji unaanza na kiasi gani? Au hizo mashine zinauzwaje?
 
Ngoja nikae kwenye kigoda kwanza! Tusubiri wajuzi
 
Back
Top Bottom