Muhimu upate leseni,Chumba kiwe na uhakika wa Umemw then unaenda kwenye kampuni kama PrimieBet,,PMBET wanakuja kukagua eneo wakiona linafaa wanakupa mashine uanze kazi
Faida itatokana na idadi ya watu wataobet mfano kwa kila ataepoteza 500 bas utagawana na kampuni asilimia kadhaa 20%
Risk zake ni kufungiwa mda wowote,Kuvamiwa,Kupigwa,Kutukanwa,Kupoteza Heshima ktk Jamii
USHAURI:
Amna kazi ngumu kama kufanya kazi na watu wenye AROSTO wakamaria wengi wanaAROSTo kwaio ngumi mkononi,Kesi hazitoisha watakuvizia wakuibie/Kukuua kabisa yote kwa yote kama una NJIA NJIA iko wazi