MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk
Mashine MPYA
Bei 1,500,000/=
Mashine ipo DAR
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa, mtama n.k
Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani
●inasaga na chakula cha mifugo
Unaweza itumia kwa matumizi binafsi au kukodisha
Mashine ni MPYA
Inasaga na kukoboa zaidi ya kilo 300 kwa saa
Namba 0754385573
Au 0686792229