Mashine ndogo za kulimia power tiller

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
20
Reaction score
15
Mkulima okoa muda/nguvu kazi na gharama katika kilimo chako.

Mifugo Plus Group tumekuletea min power tiller mashine ya kisasa yanye uwezo wa kulimia maeneo yote penye mawe,kichanga,udongo mfinyanzi hata milimani.

■ Power tiller zetu pia zinauwezo hadi wa kupalilia vizuri mno pamoja na kutengeneza matuta.

■Zipo zinazo tumia mfumo wa petrol, pia zipo za mfumo wa Disel.

■Zinauwezo wakulima hadi heka tano Kwa siku.

■Engine zina uwezo kuanzia Hp7 nakuendelea.

■Nirahisi sana kutumia kwa mkulima yoyote yule.

■Meundwa na vyuma imara.

■Zinatumia mafuta kiduchu sana.

*Gharama zetu ni nafuuu sana kwani dhamira yetu ni kukusaidia wewe mkulima uwe na kilimo chenye tija.

Tupo Dar es salaam Tegeta kwa ndevu opposite na ukumbi wa the one Hall njia ya kwenda jeshin pia tunamawakala mikoani kote wasiliana nasi kwa simu

■0656446991
0747608608whatsapp

Tucheki instagram at @Mifugo_Plus.
Karibni sana.

MIFUGO PLUS GROUP mabingwa wa vifaa vya kilimo Tanzania.
 
Kuunganisha tu hio generator ya laki 3 ndo bei iwe ml 63
 
Mil 50 atoe nani,si naenda nunua trekta kabisa
 
bwana Salesman weka bei watu watakuharibia uzi
 
Nakusifu kwa ubunifu wenye manufaa
Sio wale wanabuni ndege wengne wanatengeneza bajaji wanaita magar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…