Mashine nzuri ya kukoboa na kusaga nafaka

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Wadau, mwenye kujua bei na brand za mashine nzuri za nafaka kusaga na kukoboa anisaidie
 
Mashine(vinu vya kusaga na kukoboa) vizuri ni vile vinavyochongwa hapa hapa nchini maana kila sehemu wanaweka bati nzito na vyuma vigumu kuliko vile vya kununua madukani vinavyotoka china.
 
Mashine(vinu vya kusaga na kukoboa) vizuri ni vile vinavyochongwa hapa hapa nchini maana kila sehemu wanaweka bati nzito na vyuma vigumu kuliko vile vya kununua madukani vinavyotoka china.
Wanachonga wapi? Bei?
 
Wakuu, iv iz mashine zinapatikana wapi? Bei zake?
 
Kila mashine ya kukoboa au ya kusaga nafaka ina vitu vifuatavyo:-

1. Motor
2. Kinu chenyewe
3. Starter switch(box)
4. Main Switch
5. Socket Breaker
6. Belts
7. Chassis (angle iron kwa ajili ya foundation)
8. Wires, clamps, bulbs

Motor - Zipo za horse power kuanzia 15,20,25,30, 35, hadi 60

Kinu cha kusaga No 45, 50, 75,100 n.k

Kinu cha kukoboa Roller 2 au 3

Mchanganuo wa gharama za mashine unategemea unataka yenye vigezo vipi, au itakayokidhi wateja wa aina gani.

Binafsi ninazo mashine 2
 
Umeweza. Nami niulize mitaa uliko hakuna inayotokea wanauza complete?
 
Majibu hayakutosheleza kwenye hii thread.
 
Wapi inapatikana mikanda ya mashine za kusaga na kukoboa hapo Dar? Na bei zake zipo vipi
 
 
Brother naeza Pata mawasiliano yako uka share na mmi experience yako?
 
mawasiliano yako bas
 
Asante sana.
Na.5 ni Circuit breaker.
 
Wadau, mwenye kujua bei na brand za mashine nzuri za nafaka kusaga na kukoboa anisaidie
Usisumbuke kutafuta mashine ya aina yeyote utazipata kwetu boss karibu sana 0774150519

Ziwe za kusaga/kukoboa
Kukamua na kuchuja mafuta
Za tofali n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…