INAUZWA Mashine portable ya kujazia upepo kwenye taili ya gari yako kwa dharula na popote ulipo

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
526
Reaction score
415
Nauza compressor ndogo na heavy duty . Una uwezo wa kutembea nayo ndani ya gari yako popote uendapo. Haswa wale wanaosafiri na magari yao binafsi hii mashine ni muhimu kwako.

Ina uwezo wa kujaza lita 45 kwa dakika moja (45L/M).

Utapata cable yake ya umeme yenye urefu wa mita 3
Utapata mpira wa kujazia upepo wenye urefu wa mita 5 pamoja na adapters ,nozzles na pressure gauge.

Bei ni 150,000/=

Unaweza kununua mashine yako moja kwa kufika ofisini kwetu kariakoo mtaa wa lindi au ukihitaji kuletewa nyumbani kwako au ofisini kwako utaletewa. call/sms 0699494650.

compressor.png
 
Je inatumia umeme wa kwenye gari au?
ina cable ambazo unaunganisha kwenye betri ya gari yako kisha unawasha gari then unawasha mashine. unaweza kuangalia hiyo video hapo juu inajieleza vizuri.
 
Machine bado zinapatikana kwa sasa na bei yake imepungua kiasi gani?
 
Back
Top Bottom