F Frank mtanganyika JF-Expert Member Joined Aug 10, 2018 Posts 497 Reaction score 785 Dec 29, 2021 #1 Inaweza kukomboa mtama, mpunga, mahindi n.k (kwa saa 200kg) Inaweza kusaga mahindi, mchele, manjano, mtama , kahawa n.k( kwa saa kg 300) Inatumia motor ya 3000 watts Mashine ni mpya Unatumia umeme wa kawaida wa majumbani yaani 220v Mashine zipo Dar mtoni kijichi Nb kwa mikoani tunatuma kwa gharama za mteja Bei ni sh 1500,000 fixed Contact 0783166050
Inaweza kukomboa mtama, mpunga, mahindi n.k (kwa saa 200kg) Inaweza kusaga mahindi, mchele, manjano, mtama , kahawa n.k( kwa saa kg 300) Inatumia motor ya 3000 watts Mashine ni mpya Unatumia umeme wa kawaida wa majumbani yaani 220v Mashine zipo Dar mtoni kijichi Nb kwa mikoani tunatuma kwa gharama za mteja Bei ni sh 1500,000 fixed Contact 0783166050
mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,652 Reaction score 4,468 Dec 29, 2021 #2 Ni nzuri na itapunguza msongamano kwenye mashine na hata wale wanaotunia lishe itawasaidia