Mashine ya juice ya karoti

Mashine ya juice ya karoti

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Pale Millenium Tower Makumbusho karibu na mgahawa wa Steers wana mashine ambayo hutengenezea Juice ni kama juicer hizi zetu lakini ni kubwa,unaingiza karoti na kuigandamiza hadi inatoa juisi,sasa nauliza je hizi juicer za kawaida zinaweza kufanya hiyo kazi,kwani wasiwasi wangu ni kuwa naweza kuharibu juicer yangu ambayo natumia kukamulia maembe,mananasi,matikitiki maji na vitu ambavyo sio vigumu kama karoti,na je kama kuna juicer kama hiyo za matumizi ya nyumbani zinapatikana wapi hapa Dar?
 
katakata vipande vidogo hapo itakubali tu mkuu..
 
Back
Top Bottom