Mashine ya juice ya miwa inauzwaje?

Mashine ya juice ya miwa inauzwaje?

saidwangwe

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
7
Reaction score
5
Ndugu zangu naomba anaefahamu bei ya mashine ya kutengenezea juisi ya miwa inayotumia umeme mpya jina bei gani na mtumba ina bei gani naomba mawasiliano kupitia 0744230251
 
Inafika hadi 1.8m kwa sasa
 
Back
Top Bottom