INAUZWA Mashine ya juice ya miwa na banda lake

INAUZWA Mashine ya juice ya miwa na banda lake

seanherms

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
547
Reaction score
428
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI MITATU TU!!!
Kila kitu 1M

IMG-20210503-WA0006.jpg

IMG-20210503-WA0007.jpg
 
Siku Watanzania mtaacha uongo ndiyo mtafanya biashara vzr banda limechoka hivo unasema lina miez mitatu??

Mashine ina miaka miwil lkn unasema ina miez mitatu??
Sawa ila huo utopolo si nunui kamwe
 
Siku watanzania mtaacha uongo ndiyo mtafanya biashara vzr banda limechoka hivo unasema lina miez mitatu??

Mashine ina miaka miwil lkn unasema ina miez mitatu??
Sawa ila huo utopolo si nunui kamwe
[emoji6][emoji38]
 
Mzee,mashine 'imetumika' miezi mitatu nadhani hujaelewa kilichoandikwa.
Banda lipo nje siku zote,kwa hio siwezi sema limetumika miezi mitatu kwasababu hata kama hufanyii biashara ila swala la kua nje tu ndio kazi yake linapigwa mvua na jua kila siku ila mashine imehifadhiwa ndani since iache kufanyiwa kazi.
Lakini pia si lazima ununue wewe!
Siku watanzania mtaacha uongo ndiyo mtafanya biashara vzr banda limechoka hivo unasema lina miez mitatu??

Mashine ina miaka miwil lkn unasema ina miez mitatu??
Sawa ila huo utopolo si nunui kamwe
 
  • Thanks
Reactions: wax
Back
Top Bottom