Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI MITATU TU!!!
Kila kitu 1M
Mzee,mashine 'imetumika' miezi mitatu nadhani hujaelewa kilichoandikwa.
Banda lipo nje siku zote,kwa hio siwezi sema limetumika miezi mitatu kwasababu hata kama hufanyii biashara ila swala la kua nje tu ndio kazi yake linapigwa mvua na jua kila siku ila mashine imehifadhiwa ndani since iache kufanyiwa kazi.
Lakini pia si lazima ununue wewe!