mashine ya kikorea

Kyalow

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,548
Reaction score
2,580
salaam wakuu,eti naskia kuna mashine moja ya wakorea ambayo inauwezo wa kutambua na kuponya magonjwa kama kisukari,presha na misuli,unachotakiwa kufanya ni kulala kwa tumbo na kwa mgongo kwa dakika moja,hii tiba ni bure eti inapatikana mwenge opposite na majembe auction mart na kariakoo mtaa wa livingstone na lindi.JE HII NI KWELI NA WADAU KUNAYEYOTE ALIYEKWISHA PATA TIBA HUKO AU ANAJUA ZAIDI? ATUJUZE...NAWASILISHA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…