Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Shkran kiongoziNiliwahi kuambiwa na muuzaji wa pump kuwa Kuna machine zinaitwa JD zipo vizurisana ingawa yeye hakuwa nazo, na nikaja kuambiwa na mkulima ambaye yeye anazitumia, jaribu kufuatilia hizo huwenda zkakufaa.
Bei yake ikoje?Kanunue generator za SANSAN ziko vizuri na mafuta kidogo.
Tupe detail kidogo tupate pakuanziaKanunue generator za SANSAN ziko vizuri na mafuta kidogo.
Jamaa uwa wana bidhaa zenye ubora na bei zao pia zimesimama imara.[/URL]
Angalia hiyo link, hao jamaa wanahusika sana na mambo ya maji ikiwemo hizo pump. Fika ofisini kwako na hizo details zako za shamba watakushauri pump ipi inafaa. Ninamiliki pump 2 zote wakati naenda kununua nilienda na details zangu kwamba nataka zivute maji umbali wa mita ngapi na zipandishe umbali wa mita ngapi kwenda juu na chanzo changu cha maji ni kipi. Wao kazi yao watakushauri ipi inafaa na warranty na guarantee pia utapata kama ikishindwa kufanya kazi uliyokusudia. Achana na watu wanaokutumia namba uwasiliane nao au mwenye pump nyumbani ambayo haitumii
Sent using Jamii Forums mobile app