INAUZWA Mashine ya kisasa ya kusafishia taa za gari inauzwa

INAUZWA Mashine ya kisasa ya kusafishia taa za gari inauzwa

mleli msuya

Member
Joined
Dec 22, 2022
Posts
8
Reaction score
1
Jamani kwa wakazi wa morogoro na walioko jirani changamkieni fursa nyingine ya kujiajiri kwa kusafisha taa za gari kwa kutumia technology ya kisasa kabisi...
MCHANGANUO KWA UFUPI;
Taa moja ya mbele ya gari kwa kwa kawaida inasafishwa kwa shilingi elfu 15, zote mbili ni elfu 30 embu fikiria umesafisha angalau taa za magari 3 kwa siku jumla ni elfu 90 ukitoa matumiz yako ya siku faida bado unayoo[emoji119]
Unaweza kuwa nayo hata kama hauna ofisi na ukafanya kazii ukajiingizia kipato kikubwa
Kwa haraka kabisaaa njoo na 250,000/= na kwa mawasaliliano zaidi nichek kwa No: 0659645794

Karibu sanaa kwa pamojaa tutafika tuu...[emoji106][emoji106]


Screenshot_20221112-141050_Facebook.jpg
 
Tusio na magari tuache kusoma hizi post
 
We wadanganye wakati kusafisha ni afutatu
Kuna kesi nyinga za wenye magari wakilalamika wanasafishiw taa zao kwa kutumia petrol kwa hiy hiy elf 3 inakuw saf kwa wiki lakin baada ya apo taa inaharibik na kupotez mvuto kabis lakin kwa kutumia mashine hiy ha kisasa taa inakuwa mpya na kwa muda mrefu mpaka miezi sita na zaidi na ni technology mpya kwa Tanzania kwahiy sishangai sana ukiwa na doubt[emoji120]
 
Back
Top Bottom