mleli msuya
Member
- Dec 22, 2022
- 8
- 1
Sio kwa ajili ya waosha magari peke yao ni kwa ajili ya wote ambao watakua interested na kufanya biashara hiyo[emoji123]Tusio na magari tuache kusoma hizi post
Kuna kesi nyinga za wenye magari wakilalamika wanasafishiw taa zao kwa kutumia petrol kwa hiy hiy elf 3 inakuw saf kwa wiki lakin baada ya apo taa inaharibik na kupotez mvuto kabis lakin kwa kutumia mashine hiy ha kisasa taa inakuwa mpya na kwa muda mrefu mpaka miezi sita na zaidi na ni technology mpya kwa Tanzania kwahiy sishangai sana ukiwa na doubt[emoji120]We wadanganye wakati kusafisha ni afutatu